KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI
UTANGULIZI
Kitengo cha ukaguzi wa ndani ni kitengo kimojawapo kati ya vitengo vitano vilivyopo chini ya Ofisi ya Mkurugenzi. Kilianzishwa mwaka 2008 kutokana na vifungu namba 28 na 29(1) vya sheria ya fedha za umma ya mwaka 2001 na marekebisho yake ya 2004.
Kitengo kinawajibika kutoa taarifa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda na kutoa taarifa ya utendaji kazi zake kwa kamati ya ukaguzi ya Manispaa ya Mpanda.
DHIMA
Dhima ya kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda ni kutoa ushauri uliohuru kwa jambo lengwa na huduma za kitaalamu zitakazoleta tija na kuboresha utendaji kazi wa Halmashauri ili iweze kufikia malengo yake. Kitengo kinasaidia pia kuhakikisha malengo yanatimia kwa kuandaa mfumo yakinifu wa upembuzi na kuboresha umakini wa vihatarishi, udhibiti na utawala bora.
MAJUKUMU YA KITENGO
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.