UTANGULIZI
Halmashauri ya Manispaa Mpanda ni miongoni mwa Halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa Halmashauri za Manispaa ambao uliidhinishwa mnamo mwaka 2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi watatu ambao ni Afisa habari na uhusiano mmoja na Afisa TEHAMA. Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la Serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni Kusimamia masuala yote ya Habari na Mawasiliano ya Halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya manispaa. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:
Majukumu ya Kitengo
Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya Tehama kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri
Ilembo, Kasimba area
Anuani ya Posta: 216, Mpanda
Simu ya Mezani: +255-2529529
Simu: +255-2529529
Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.