• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Mpanda Municipal Council
Mpanda Municipal Council

Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa Mpanda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vission
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
        • Tasaf
      • Fedha na Biashara
      • Usafishaji na Mazingira
      • Mipango, Takwimu, Uchumi na Tathmini
      • Land and Town Planning
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
    • Kata
    • Streets
  • Fursa za uwezekezaji
    • Vituo vya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
      • Rungwa Sekondari
      • Mpanda Girls Sec School
    • Heath
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Woman Empowerment
  • Madiwani
    • List of Counciolors
    • Standing Commitees
    • Time table
      • Vikao vya Madiwani
    • Makablasha/Taarifa za Baraza
  • Miradi
    • Miradi inayo tekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • By laws
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Strategic Plan
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi
    • Speech
    • Albamu
    • Makala

WAALIMU WASIO NA MAADILI KUKATALIWA

Posted on: November 26th, 2018

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mama Lilian C. Matinga ameliomba Baraza la Madiwani la Manispaa ya Mpanda kumuunga mkono kuwakataa waalimu wasiokuwa na maadili ambao wanawatongoza wanafunzi wao.

Ombi hilo limetotewa mapema leo wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa.

Mama Matinga aliendelea kueleza kuwa, waalimu ni wazazi, hivyo kitendo cha kumtongoza mwanafunzi ni kinyume kabisa na maadili ya kazi, hivyo amewatahadharisha waaalimu kuwa, yeyote atakaye  bainika au kukisia kuwa anapoteza ndoto za wanafunzi atachukuliwa sheria ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi.

Aidha aliendelea kuwasihi madiwani ili suala hilo lipewe kipaumbele kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa Mkoa wa Katavi ni kinara kwa mimba za utotoni. Hivyo amewataka madiwani kama wazazi,  wananchi wote na jamii nzima kila mmoja kusimama kwa zamu yake na kutekeleza yale anayotakiwa kufanya. Amewataka madiwani kutekeleza wajibu wao.

Matangazo

  • MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI October 23, 2018
  • TANGAZO LA MNADA WA KUUZA MAGARI July 05, 2018
  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KITUO CHA MABASI CHA ILEMBO September 18, 2018
  • Zabuni ya kutoa huduma ya usafi Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa June 30, 2018
  • Tazama zote..

Habari za Hivi Punde

  • BARAZA LAPITISHA MAPENDEKEZO YA BAJETI KWA MWAKA 2019/2020

    January 31, 2019
  • DC MATINGA KUHAKIKI UHALALI WA DINI ZOTE WILAYA YA MPANDA .

    January 16, 2019
  • ‘DC’ Matinga azindua zoezi la kugawa vitambulisho vya wajasiliamali

    January 12, 2019
  • STENDI MPYA YA MABASI-ILEMBO (MIZENGO PINDA) YAMFURAHISHA WAZIRI JAFFO.

    November 29, 2018
  • Tazama zote..

Video

Uzinduzi wa Tovuti mpya kitaifa
Video zaidi.

Kurasa za Haraka

  • Revenue Collection Dashboard for Katavi Region

Tovuti Zinazohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ilembo, Kasimba area

    Anuani ya Posta: 216, Mpanda

    Simu ya Mezani: +255-2529529

    Simu: +255-2529529

    Barua Pepe: md@mpandamc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://dissertation-writingservice.com/

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa Mpanda. Haki Zote Zimehifadhiwa.